search

vt,vi 1 ~ (somebody/ something) (for somebody/ something); ~ somebody/something out tafuta; chunguza; pekua, chakura. ~ out tafuta, saka. ~ one's heart/conscience chunguza dhamira, tafakari. S ~ me (colloq) sijui kabisa. 2 (lit) penya; zama n kutafuta; upekuzi, mchakuro. right of ~ n haki ya manowari za nchi kusimamisha na kupekua meli nyingine wakati wa vita. searchlight n kurunzi. ~-party n kikundi cha watafutaji kinachotafuta mtu/kitu kilichopotea. ~-warrant n hati ya upekuzi. searcher n. searching adj -a kuchunguza kwa undani; (of a test) -a mambo yote, kamilifu. searchingly adv.