seam

n 1 mshono; (hemmed) upindo; (tacked) bandia; (strong) jongo. 2 tabaka ya madini (ya makaa ya mawe n.k.) 3 (wrinkle) kikunjo, kifinyo, kunyanzi. 4 kiungo, ufa (kati ya mbao) melini (of sail) mlete. vt shonesha/tia/onyesha (vikunjo, kovu n.k.). seamless adj -a bila mshono, -liofumwa kipande kimoja. seamstress n mshonaji wa kike.