seal
seal
1 n sili: mnyama wa baharini mwenye manyoya mazuri. ~ skin n ngozi ya sili; vazi la manyonya ya sili. sealer n mwindaji wa sili; meli itumikayo kuwinda sili.seal
2 n 1 muhuri, chapa, alama. given under my hand and ~ (leg) -liotiwa saini na kupigwa muhuri na mimi. under ~ of secrecy (fig) kwa masharti ya siri. ~ ring n pete yenye muhuri. 2 ~ of idhini. vt 1 ~ (up) tia (piga) muhuri. ~ (close) ziba, funga kabisa. 2 ~ something in fungia. 3 ~ something off zingia, zuia. my lips are ~ed sitasema. sealing-wax n lakiri.