scuttle

scuttle

1 n tundu/upenyo/dirisha ubavuni mwa meli. vt toboa meli ili kuizamisha. ~ butt n 1 pipa la maji matamu melini. 2 (sl) uvumi, umbeya.

scuttle

2 vi ~ (off/away) enda mbiombio. 2 kukwepa/kukimbia (shinda/matatizo/ hatari); kupiga chenga.

scuttle

3 n chombo cha kuwekea makaa ya mawe.