scum

n 1 povu, fuo; taka za juu (ya maji). 2 the ~ of (fig) watu wasio na thamani/duni. the ~ of the earth watu duni kabisa; watu wabaya kabisa. vt,vi engua povu/taka za juu n.k. scummy adj.