scull

n 1 kasia (mojawapo kati ya makasia mawili yatumiwayo na mpiga kasia). 2 kasia, upondo. vt,vi endesha kwa kasia, piga/vuta kasia. sculler n mpiga kasia.