scrutinize

vt chunguza, angalia kwa makini. ~ ssomebodys face angalia mtu usoni kwa makini. scrutineer n msimamizi/mkaguzi wa kura (karatasi za kura). scrutiny n 1 uchunguzi makini. 2 uchunguzi rasmi wa kura.