scroll

n 1 hati ya kukunja (kwa kuvingirisha); hati ndefu (hasa kama zile za zamani). 2 nakshi, mapambo ya kuchora/kuchonga yanayoonekana kama hati.