script

n (handwriting) mwandiko wa hati ya mkono.2 (short for) mswada (wa mchezo/filamu n.k.). ~ writer n mwandishi wa mswada. scripted adj liosomwa kutoka kwenye mswada. 3 karatasi ya majibu ya mtihani.