scribble

vt,vi andika haraka, paruza, andika ovyo; chorachora. scribbling block karatasi za rafu n mwandiko wa mchorochoro. ~ r n mtu aandikaye ovyo; mwandishi chapwa.