screw

n 1 parafujo/skurubu. screwdriver n bisibisi. a ~ loose hitilafu; (fig) kichaa, afkani. screwball n (US sl) wazimu. ~ topped adj -enye kifuniko chenye hesi. 2 parafujo shinikizi: kitu kizungushwacho kama parafujo na kutumika kama shinikizi. put the ~ on somebody/give somebody another turn of the ~ lazimisha, shurutisha; bana. 3 (kitendo cha) kuzungusha; mzungusho/mzunguko. 4 ~-propeller n majembe, mapanga, rafadha. 5 (in games, billiards etc) mpindisho /mbetuo (wa mpira). 6 (twist) msokoto. 7 (colloq) bahili. 8 (GB sl) (wages) mshahara, ujira. 9 (GB sl) askari jela. 10 mwenzi katika kutiana kukazana. vt,vi 1 tia skrubu, kaza kwa skrubu. have one's head ~ed on (the right way) -wa na busara/akili, -wa na uamuzi wa busara. 2 (squeeze) sokota, songa; kaza (kwa kuzungusha), fanya imara, thabiti. ~ up one's courage kaza moyo, piga moyo konde. ~ up one's eyes kaza macho. 3 (extort) kama, kamua. 4 (sl) be ~ed lewa. 5 kaza, jamiiana na. 6 ~somebody up vuruga adj (sl) (GB,colloq) kichaa; (US colloq) -a kijinga.