screen

n 1 kisitiri, kinga, kificho. 2 chekecheke. 3 kiwambo cha nguo. 4 (cinema) skrini, kioo. 5 kiambaza. 6 pazia door/window- ~ wavu wa mlango/dirisha. vt 1 sitiri. 2 linda, chekecha, chuja. 3 onyesha filamu she ~s well (of films) anatokea vizuri. screening n (pl) masalia (baada ya kuchekecha).