scrag

n 1 kiumbe (mtu, kitu, mti, au mnyama) hafifu/dhalili; gofu la mtu. 2 ~ (-end) sehemu ya mifupa ya shingo ya kondoo. vt songa, kaba koo; nyonga. scragginess n udhaifu, unyonge; ukondefu. scraggy adj -embamba; -liokonda; -a kimbaombao; -gofu; ng'onda.