scour
scour
1 vt 1 sugua; ng'arisha/safisha kwa kusugua/kupitishia maji au dawa ~ the bowels harisha, endesha sana. 2 ~ something (away/off) ondoa kutu, doa n.k. ~ the rust away/off from something toa kutu katika kitu. 3 safisha tundu/tanuri/ bomba (kwa kupitisha maji). n 1 kusafisha 2. dawa ya kusafishia/ kusugulia. ~ er n 1 kisugulio; sifongo. 2 msafishaji. scouring n kusugua/kung'arisha. ~ing powder n unga wa kusugulia.scour
2 vt,vi 1 pitia haraka (katika kutafuta kitu); nenda haraka (hapa na pale). 2 ~ about/after/for somebody/something tafuta ~ the country pekua/saka nchini.