scoop

n 1 upawa, ukasi, bambo, mkamshi. scoop-net n wavu wa kukombea chini ya mto. 2 (fig) mkupuo he won pound 5000 at one ~ alipata pauni 5000 kwa mkupuo mmoja. 3 (colloq) habari inayotangazwa mara na gazeti moja kabla ya mengine; (comm) faida kubwa (inayotokana na kuwawahi wafanyabiashara wengine). vt 1 ~ something out/up chota kitu kwa kijiko/mkamshi. 2 ~ (out) chimba/kata (shimo/mtaro) kwa bambo. 3 (colloq) pata (faida, habari) kwa wingi (kutokana na kuwahi). scoopful n upawa/ukasi tele.