scissors

n (pl) (pair of ~) mkasi, makasi. ~ and paste uandishi wa vitabu kwa kutumia sehemu za makala na vitabu vya watu mbalimbali.