scintilla

n 1 cheche; chembe, atomi; mmeto not a ~ of truth in his words hakuna hata chembe ya ukweli katika maneno yake. ~ate vi 1 metameta, memeteka. 2 (fig) vutia. ing nga'vu, a kuvutia scintillation n 1 mmeto, mng'ao. 2 mvuto.