science

n 1 sayansi. the natural ~ n sayansi asili (k.m. biolojia, zuolojia). the physical ~ n sayansi umbile (k.m. fizikia, kemia). social sciences n sayansi jamii (mf. saikolojia, siasa). applied ~ n sayansi tumizi (k.m. uhandisi). ~ fiction n riwaya ya kisayansi. 2 maarifa, ujuzi, ubingwa. scientist n mwanasayansi. scientific adj 1 -a kisayansi; -a kanuni za sayansi scientific instruments vyombo vya kisayansi scientific socialism usoshalisti wa kisayansi 2. -a ujuzi/maarifa. scientifically adv.