school

school

1 n 1 shule ~ children watoto wa shule reform ~ shule ya kuadibisha, shule ya kutia nidhamu boarding ~ shule ya bweni day- ~shule ya kutwa. ~ -board n halmashauri/bodi ya shule. ~ -book n kitabu cha shule. schooldays n wakati wa shule. schoolhouse n nyumba ya shule. schoolman n mwanachuoni wa kale, mwalimu katika chuo kikuu. ~master/ mistress n mwalimu. schoolmate n mwenzi shuleni. ~ time n saa za masomo. 2 kusoma. ~ age n umri wa kwenda shule; darasa. 3 vipindi, masomo. 4 wanafunzi (watoto wa shule). 5 idara/kitengo (cha chuo kikuu cha kushughulikia somo fulani); (followers) wafuasi. 6 (opinion) tapo; madhehebu. 7 mafunzo be in for one's ~ wa katika mafunzo. vt 1 fundisha, adibu. 2 zoeza. ~ oneself to jizoeza. ~ ing n elimu, kisomo.

school

2 n (of fish) kundi (kubwa la samaki).