scholar

n 1 (dated use) mwanafunzi. 2 mwenye kupata msaada wa masomo. 3 mtaalamu, msomi, mwanazuoni. ~ ly adj -a kitaalamu/kisomi. scholarship n 1 utaalamu. 2 msaada wa masomo. scholastic adj 1 -a chuo, -a masomo, -a elimu a scholastic institution chuo. 2 (abstruse) -a fumbo, -enye utata. scholasticism n falsafa ya uwanazuoni (enzi za kati).