schedule

n ratiba; jedwali to ~ time kupanga wakati. on ~ kwa wakati uliopangwa. behind ~ kwa kuchelewa. according to ~ kama ilivyopangwa. vt ~ (for) panga, ratibu. schema n (pl schemata) kielelezo. ~ tic adj 1 -a kielelezo. 2 -a mpango. ~tically adv.