scent
n 1 harufu. 2 marashi, uturi, manukato. 3 udi, uvumba ~-bottle n chupa ya uturi. ~-spray n kifukizio cha uturi. 4 mtara (wa windo), harufu ya mnyama. on the ~ enye ishara/dalili/fununu. off the ~ bila ishara/dalili/fununu. be on the ~ fuatilia (jambo) kwa viashirio/vidokezo; (track) njia, wayo, dalili. put somebody off the ~ (fig) potosha; poteza kwa taarifa vidokezo vya uwongo. vt 1 nusa, sikia harufu. 2 hisi ~ the air sikia harufu hewani. 3 nukiza. scentless adj -sioharufu.