scene
n 1 mandhari; sehemu ya matukio. quit the ~ ondoka; (fig) fariki. 2 (in plays) onyesho. behind the ~ nyuma ya jukwaa; (fig, of person) -enye kuathiri mambo kisirisiri; (of an event) siri, -siofahamika na watu be behind the ~ -toonekana, wa nyuma ya jukwaa. be/come on the ~ wa katika eneo fulani; (fig) tokea. 3 (maelezo ya) tukio. 4 vituko, ghasia. make a ~ fanya vituko/ghasia. 5 eneo, uwanja. be on/make the ~ (colloq) wa sehemu ya/kubalika. ~-painter n mpamba jukwaa. ~-shifter n mbadilisha mandhari katika jukwaa. scenery n 1 mandhari a change of ~ry mabadiliko ya mandhari (hasa safarini). 2 pambo la jukwaa (tamthilia). scenic adj -a mandhari nzuri, -a kupendeza macho. scenically adv.