scatter

vt,vi tawanya, tapanya. ~ -brain n mtu wa wasiwasi/asiyetulia pamoja/asiye makini. ~ brained adj,n mtawanyo. scattered adj -liotengana sana; - a hapa na pale; -liotawanyika ~ed villages vijiji vilivyotengana sana. ~ed trees n miti iliyotawanyika. ~ ed showers n mvua za hapa na pale.