scathe

n (arch) 1 kuumiza (kwa dhihaka, kejeli, matusi); dhihaki. 2 jeraha. vt 1 jeruhi. 2 umiza, (kwa dhihaka) shambulia, sema mtu (vikali). scatheless adj. scathing adj (of criticism etc) -kali, -enye kuumiza.