scare

vt,vi 1 ogofya, gutua, tisha; ogopa, gutuka, tishika be ~d to death tishika sana ~ away fukuza. 2 winga, gutusha, shtusha. ~ somebody to death/out of his wits/stiff (colloq) gutusha/tisha sana. n hofu; fadhaa; kitishotisho give a~ ogofya. ~ -crow n sanamu (la kuwingia ndege). ~ headline n kichwa cha habari za kutisha. ~ monger n mzushi wa vitisho/ mvumisha vitisho. scary adj.