scan

vt,vi 1 chungua, kagua. 2 pitia haraka. 3 (poetic) soma kwa mapigo, mdundo; pima mapigo ~ well fuata mapigo. 4 changanua picha, maandishi, michoro kwa mwale electroniki (kwa nia ya kunakili na kusafirisha). scansion n. scanner n skena: kisoma maandishi (kielektroniki). n (poetic) kufuata mapigo/mdundo wa kishairi.