scale
scale
1 n 1 kitanga cha mizani. (pl) (pair of) ~s n mizani. hold the ~s even amua sawasawa/kwa haki. turn the ~(s) kata neno na ondoa mashaka. turn the ~(s) at (colloq) wa na uzito wa. 2 mashine/mizani ya kupimia.scale
2 n (of fish) gamba; (of metal, mineral) mavi; makoko; (scurf) mba, kigaga; (of teeth) ukoko. remove the ~ s from somebody's eyes (fig) fungua macho, gutusha; tambulisha mtu ukweli wa jambo. vt,vi paa magamba, kwangua; anguka, toka ~ a fish paa samaki. ~ off bambuka. scaly adj -enye magamba.scale
3 n 1 kipimo, alama (za vipimo); (instruments) vifaa vya kupimia (k.m. rula, mita, n.k.), kipimio, kigezo, mizani. 2 (music) jamii ya sauti (hasa sauti nane) practise ~s jizoeza (kinanda). 3 (Maths) mfumo wa vipimo the decimal ~ kipimo cha desimali. 4 skeli: mlinganisho kati ya ukubwa wa kitu na ramani au mchoro. 5 ngazi. salary ~ (s) n ngazi za mshahara. 6 kiwango. on a large ~kwa kiwango kikubwa/wingi. on a small ~ kwa kiwango kidogo vt 1 panda, kwea ~ a mountain panda mlima. scaling-ladder n ngazi ya kupandia. ~ up/down pandisha/ punguza all prices were ~d up ten per cent bei zote zilipandishwa kwa asilimia kumi. 2 nakili kwa kulinganisha ramani.