scald

vt 1 babua. ~ing tears n machozi ya uchungu. 2 safisha (kwa maji moto au mvuke). 3 pasha moto. n unguzo; lengelenge, kidonda cha kuungua moto.