scaffold

n 1 jukwaa, dungu. 2 jukwaa (wanaponyongewa wahalifu). go to the ~ nyongwa. scaffolding n 1 (vifaa vya kujengea) jukwaa. 2 dungu, jukwaa.