savage

adj 1 -shenzi; -siostaarabika. 2 -kali; katili, -uaji, nduli. 3 (colloq) -enye hasira sana, -a ghadhabu, -a kiruu. n mshenzi. vt shambulia kikatili, ng'ata, uma, kanyagakanyaga. savagely adv. savageness n. savagery n.