sauce
n 1 sosi, mchuzi mzito, rojo. what is ~ for the goose is ~ for the gander (prov) sheria ni msumeno. ~ -boat n kibakuli. ~-pan n. sufuria. 2 (impudence) mzaha. vt fanya ujeuri. saucy adj 1 -tundu; -jeuri. 2 tanashati. saucily adv kwa utundu. sauciness n ujuvi; utundu. saucer n 1 kisahani. ~ r eyed -enye kutoa macho (kwa mshangao). 2 tufedishi lenye kupaa. 3 mbonyeo.