saturate

vt 1 ~ (with/in) kifu, lowesha/koleza kabisa, shinikiza. 2 jaza kabisa. saturated adj dabwadabwa. saturation n ukifish(w)aji; unywesh(wa)ji; ulowesh(w)aji. saturation point n kiwango cha kuloa/kujaa kabisa; kiwango kifu; (fig) kipeo cha juu, hatua ambayo hakuna linaloweza kuingia/ kukubalika/kupatiwa nafasi.