satiate

vt (formal) 1 shibisha, tosheleza. 2 kinaisha, chosha be ~d with food kinai chakula. satiety n (formal) shibe; kinaa to satiety (kushiba) mno hadi kukinai. satiable adj (formal) -a kukinai, -a kuweza kukinaishwa, -enye kuweza kutoshelezwa/kuridhishwa.