sardine

n 1 sadini: samaki mdogo kama dagaa upapa (hupikwa na kutiwa makoponi). 2 dagaa. packed like ~s -liosongamana sana, -a kubanana sana.