sap
sap
1 vt dhoofisha; toa nguvu/uhai wa mtu.sap
2 n handaki. ~-head n kichwa cha handaki (sehemu ya mwisho wa handaki iliyo karibu kabisa na adui). vt,vi chimba handaki; tekua (ukuta) kwa kuchimba chini yake; (fig) vunja, dhoofisha matumaini/imani. ~ per n askari mjenzi wa barabara/madaraja; mchimba mahandaki.sap
3 n (dated sl) bwege, mpumbavu.sap
4 n 1 maji (ya miti, majani); utomvu. ~ wood n safu laini za nje ya mti. 2 (fig) (chochote kitiacho) nguvu, hamasa. sapless adj bila maji/utomvu; kavu; -sio na nguvu. ~ ling n mti mchanga, chipukizi la mti; kimelea; (fig) kijana. sappy adj -enye maji mengi; -changa, -enye nguvu.