sanitary

adj 1 safi, -a kutia afya. 2 -a kulinda afya ~ inspector n mkaguzi wa afya. ~-towel/napkin n sodo, mlembe. sanitation n usafi/udhibiti afya (kwa kuondoa, maji machafu na takataka).