sanguine

adj (formal) 1 -a tumaini, -tumainifu, -a matarajio mema a man of ~ disposition mtu mwenye tabia ya kutazamia mema tu ~ of success -enye tumaini la ushindi. 2 -enye sura nyekundu. ~ ness n 2 -enye sura nyekundu. sanguineous adj -enye rangi ya damu.