sane

adj 1 -a akili timamu, -sio kichaa. 2 -a busara, -enye akili sana. ~ views n mawazo ya busara. sanely adv kwa akili timamu, kwa busara. saneness n. sanity n 1 akili timamu. 2 busara.