sandwich

1 n sandwichi; vipande vya mkate vyenye nyama, jibini n.k. katikati. ~man n mtangazaji anayebeba mabango ya kutangazia (moja kifuani na moja mgongoni). ~-board n moja ya mabango hayo. ~course n kozi ya nadharia (shuleni) na vitendo (kazini). vt ~ (between) bana, tia mtu katikati.