sanctify

vt takasa; fanya takatifu. sanctification n. sanctimonious adj -a kujifanya takatifu; nafiki. sanctimoniously adv. sanctity n 1 utakatifu, usufii. 2 (pl) sanctities n majukumu/maono thabiti. sanctuary n 1 mahali patakatifu, (k.v. kanisa, msikiti, hekalu). 2 madhabahu. 3 (refuge) kimbilio seek sanctuary tafuta kimbilio be offered sanctuary pata kimbilio. 4 hifadhi (ya ndege, wanyama n.k.) bird sanctuary hifadhi (mbuga) ya ndege. Sanctum n 1 mahali patakatifu. 2 (colloq) faragha.