sanatorium/sanatarium

n 1 hospitali/ kituo cha afya kinachowapa wagonjwa tiba, chakula maalum na mazoezi. 2 hospitali ya magonjwa ya muda mrefu. 3 (lab) chumba cha wagonjwa katika shule ya bweni.