same

adj the ~ -a moja; sawa. at the ~ time wakati huohuo /huu huu they went to the ~ school walisoma shule moja in the ~ manner kwa namna hiyo hiyo, hivyo hivyo, namna ile, kama. all the ~ hata hivyo at the ~ time pamoja; hata hivyo, pamoja na hayo. be all/just the ~ to somebody wa mamoja. come/amount to the ~ thing ina maana ile ile. the very ~ hilo hilo/huyo huyo. one and the ~ sawa kabisa. sameness n 1 umoja; usawa; mfano mmoja; yale yale; vile vile. 2 (monotony) kuchosha, mambo yale yale.