salvage

vt 1 okoa (agh baharini). n 1 ada (ujira) ya uokoaji, malipo ya kuokoa. 2 uokoaji; (k.m. kuokoa meli hatarini). 3 kitu kilichookolewa (k.m. meli).