salt

n 1 chumvi, munyu. not/hardly worth one's ~siostahili mshahara. take somebody/something with a grain/pinch of ~ amini nusunusu; -wa na shaka kuhusu... the ~ of the earth watu wema/wenye haki. rub ~ into the wound tia chumvi/tonesha donda. 2 (chem) mchanganyiko wa metali na asidi. 3 a ~/ an old ~ baharia stadi. 4 haluli, (sl) kasi sana. 5 (fig) kikolezo. 6 (compounds) ~-cellar/ shaker n kidau cha chumvi. ~-lick n mwamba wa chumvi (kwa wanyama kuulamba). ~ -marsh n matope ya chumvi. ~-mine n mgodi wa chumvi. salt-pan n shimo la chumvi. ~ water n maji ya chumvi. ~ -water adj -a bahari ~-water fish samaki wa baharini. ~ works n kiwanda cha chumvi. vt tia chumvi, koleza kwa chumvi. ~ something down hifadhi kwa chumvi. ~ away (colloq) weka (agh fedha) akiba adj -enye chumvi, -a chumvi; -lioungwa chumvi. ~-free; ~ less adj isiyo na/bila chumvi. salty adj. ~ ish adj. ~ iness n.