saloon

n 1 sebule kubwa, chumba kikubwa cha shughuli fulani hair dressing ~ chumba cha kunyolea/ kutengenezea/kukatia nywele. 2 chumba cha kulia melini/garini. 3 (US) baa; kilabu ~ keeper mlinzi wa baa. 4 ~ (car) gari ndogo.