salon

n 1 sebule/chumba cha mapokezi chenye kuvutia ~ music muziki laini (upigwao sebuleni). 2 the ~ n maonyesho ya mwaka ya wachoraji katika mji wa Ufaransa. 3 mkusanyiko wa watu sebuleni mwa mtu mashuhuri. 4 mahali panapotoa huduma zinazohusiana na mitindo.