sally

n 1 shambulio, tukio, tokeo la ghafla (kutoka boma lililozingiwa na adui). 2 mzaha, masihara (agh. ya kumdhihaki mtu). vi tokea; shambulia ghafla nje ya boma linalozingiwa. ~ out/forth tembea; enda safarini.