sale

n 1 kuuza; kuchuuza. (up) for ~ inauzwa. on ~ (of goods in shops etc.) inauzwa. on ~ or return zisiouzwa zirudishwe. bill of ~ n waraka wa kiwakilishi. a ~s clerk n muuzaji, mhudumu dukani. ~ department n idara ya mauzo. ~s resistance n kusita kununua. ~s talk (colloq); ~s chat n maneno ya kuvutia mnunuzi. 2 mauzo, uuzaji. on ~ -a kuuzwa. it is not for ~ haiuzwi. cash ~ n kuuza taslimu. ~ of goods uuzaji wa bidhaa. ~ of credit kuuza kwa muamana.~s tax n kodi ya mauzo. 3 seli: mauzo yaliyopunguzwa bei. 4 (auction) mnada. put up for ~ toa kwa mnada. (compounds) ~s/girl/lady/woman/man mwuzaji ~s room chumba cha kunadia. ~sman ship n ujuzi wa uuzaji. ~ able/salable adj -a kuuzika.