salad

n 1 saladi; kachumbari. ~ days n wakati wa ujana (wa kutojua mambo). ~ dressing n kiungo (cha rojorojo) cha saladi. ~ oil n mafuta ya kutia kwenye kachumbari. 2 fruit ~ n saladi ya matunda, fruti.